Mikopo yetu hutolewa kwa njia ya mtandaoni (online) kupitia simu janja ya android (smartphone) na mkopaji atapokea pesa zake kwa njia za kielektroniki kama vile tigo-pesa, M-Pesa, airtel-money, Halo-pesa au akaunti za kibenki.
Platinum Credit Ltd Tanzania
tunatoa mikopo ya fedha kuanzia laki tatu Hadi milioni tano kwa watanzania wote bila kubagua kazi unayofanya.
Ili uweze kupata mkopo wetu unatakiwa kuwa na kitambulisho chako pamoja na kiasi cha fedha ya akiba kisha utajaza FOMU ya kuomba mkopo
.
Fomu ya kuomba mkopo inapatikana mwisho wa haya maelezo yetu katika ukurasa huu utaona kitufe cha kuingia kujaza fomu ya kuomba mkopo, utajaza fomu kisha utalipia fedha ya akiba na utatumiwa mkopo wako ndani ya dakika 5 tu.
Aina ya Vitambulisho vinavyokubalika ili uweze kupata mkopo ni kitambulisho cha NIDA , kitambulisho cha mpiga KURA , kitambulisho cha MZANZIBAR, leseni ya UDEREVA, leseni ya BIASHARA na paspoti ya KUSAFIRIA unaweza kutumia kimoja wapo kujaza fomu na kama hauna vyote Basi unatakiwa kutumia namba yako ya NIDA tu kujaza fomu.